mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kususia uchaguzi , waingie katika mapambano nguvu zao za ushindani zipimike
Kwahiyo hamtasusia uchaguzi October 2020?[emoji39][emoji39][emoji39]Ni aina fulani ya ndondocha hivi
Kwahiyo hamtasusia uchaguzi October 2020?[emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ule wa Serikali za Mitaa hawakususa mwanzo hadi walivyoona wagombea wao wameondolewa kwa mizengwe ndiyo wakajitoa. Kama hali itakuwa Kama ya uchaguzi wa Serikali za mitaa ni bora wakafanya kama walivyofanya.Huu hawawezi kuususia. Watashiriki kwa kujali maslahi yao. Na hapo ndipo wale waliokatazwa wasishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watakapolianzisha! Kumbuka huku chini ndio kuna wapiga kura na wao hawana wawakilishi wa kuwasemea mtaani. Yaani safari hii, CCM kiulaini!!!
Dogo, jitahidi sana kutafuta taarifa sahihi. Na ukifanya hivyo, hutawaamini tena hao jamaa.Hata ule wa Serikali za Mitaa hawakususa mwanzo hadi walivyoona wagombea wao wameondolewa kwa mizengwe ndiyo wakajitoa. Kama hali itakuwa Kama ya uchaguzi wa Serikali za mitaa ni bora wakafanya kama walivyofanya.