Uchaguzi 2020 Nasubiri wasusie Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 Nasubiri wasusie Uchaguzi Mkuu

Huu hawawezi kuususia. Watashiriki kwa kujali maslahi yao. Na hapo ndipo wale waliokatazwa wasishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watakapolianzisha! Kumbuka huku chini ndio kuna wapiga kura na wao hawana wawakilishi wa kuwasemea mtaani. Yaani safari hii, CCM kiulaini!!!
Hata ule wa Serikali za Mitaa hawakususa mwanzo hadi walivyoona wagombea wao wameondolewa kwa mizengwe ndiyo wakajitoa. Kama hali itakuwa Kama ya uchaguzi wa Serikali za mitaa ni bora wakafanya kama walivyofanya.
 
Dogo, jitahidi sana kutafuta taarifa sahihi. Na ukifanya hivyo, hutawaamini tena hao jamaa.
 
Back
Top Bottom