MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila kinachoangaliwa na Kuhukumiwa ni Dhamira ( Nia ) aliyokuwa nayo kabla.
Kocha Nabi kaudhalilisha Mpira wetu na Ligi Kuu yetu ya NBC kwa kusema kuwa Simba SC ilipendelewa, Refa hakuwa Fair na kwamba Goli la Kwanza la Simba SC halikuwa halali na kutoa maneno ya Kashfa kwa TFF na Wadau wa Soka nchini.