MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Profesa wa Uzuzu ( Ujuha ) akiwawakilisha Mashabiki wa Timu yake hiyo mbovu iliyonyooshwa vyema jana na Henock Inonga na Kibu Denis ( Kibunenga ) kwa Mkapa.Profecha nabi
Kama tayari MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" tayari ni maarufu je, nahitaji tena umaarufu mwingine hapa JamiiForums?Una tafta umaarufu
Kibu Denis alipommanua Djigui Diara jana. Nimependa sana Diara alivyojipinda na Makalio yake kuyainua kwa juu kama anavyoonekana hapa ( hapo ) Pichani.
Ametegesha waje wawekemo mshale sio?
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila kinachoangaliwa na Kuhukumiwa ni Dhamira ( Nia ) aliyokuwa nayo kabla.
Kocha Nabi kaudhalilisha Mpira wetu na Ligi Kuu yetu ya NBC kwa kusema kuwa Simba SC ilipendelewa, Refa hakuwa Fair na kwamba Goli la Kwanza la Simba SC halikuwa halali na kutoa maneno ya Kashfa kwa TFF na Wadau wa Soka nchini.
nabi nimemsikia hakumdhalilisha mtu yoyote,alisema wanataka refa mwenye hofu ya Mungu hilo sio tusiMayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila kinachoangaliwa na Kuhukumiwa ni Dhamira ( Nia ) aliyokuwa nayo kabla.
Kocha Nabi kaudhalilisha Mpira wetu na Ligi Kuu yetu ya NBC kwa kusema kuwa Simba SC ilipendelewa, Refa hakuwa Fair na kwamba Goli la Kwanza la Simba SC halikuwa halali na kutoa maneno ya Kashfa kwa TFF na Wadau wa Soka nchini.
Tukianza kuleta mlolongo wa madhaifu ya refa kwenye mechi zenu za NBC PL mtarudi mpaka nafasi ya 5 kaeni kimya tu na kuongoza ligi kwenu kwa mchongokweli mkuu ila kitendo cha rafu mbaya za mara kwa mara toka kwa mzamiru zipongezwe na TFF
udhaifu wa refa kushindwa kutoa maamuzi ya haki nacho kipewe tuzo
Upo period?Profesa wa Uzuzu ( Ujuha ) akiwawakilisha Mashabiki wa Timu yake hiyo mbovu iliyonyooshwa vyema jana na Henock Inonga na Kibu Denis ( Kibunenga ) kwa Mkapa.
nabi nimemsikia hakumdhalilisha mtu yoyote,alisema wanataka refa mwenye hofu ya Mungu hilo sio tusi
kitendo cha mzamiru kumpiga kipepsi mayele kwenye uti wa mgongo ni nia ovu kabisa na ni lazima kichukuliwe hatua kali
kweli mkuu sisi tukiwa nafasi ya 5 wewe utakuwa umeshuka darajaTukianza kuleta mlolongo wa madhaifu ya refa kwenye mechi zenu za NBC PL mtarudi mpaka nafasi ya 5 kaeni kimya tu na kuongoza ligi kwenu kwa mchongo
Na kundi la caf kwa mchongo ππππππTukianza kuleta mlolongo wa madhaifu ya refa kwenye mechi zenu za NBC PL mtarudi mpaka nafasi ya 5 kaeni kimya tu na kuongoza ligi kwenu kwa mchongo