Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

Kibu Denis alipommanua Djigui Diara jana. Nimependa sana Diara alivyojipinda na Makalio yake kuyainua kwa juu kama anavyoonekana hapa ( hapo ) Pichani.
Unapenda makalio ya mwenzio?!
 
we gentamycine bwana una vituko
 
Mpira ni mchezo wa contact sio drafti au tennis.Unaleta wachezaji legelege wakiguswa wanakuwa kama wamepigwa risasi.
Kachezeni mduara kama football imewashinda.
Ila mayele ni zuzu, kucheza yanga kwake anajiona kamaliza. Anajidekeza sana. Hataki aguswe kabisa mpaka wakati mwingine anawanyima yanga magoli kwa kudeka kwake. Akihisi anakutana na mtu anaachia mpira kirahisi tu. Sasa akikuta na miti mikavu kama inonga, mzamilu au onyango, anahangaika kuhama namba mpaka jua linakuchwa.
 
Mtu umeanzisha Uzi huku umepaniki unategemea nini? Kuna mambo kwenye kuchanganua tumia uhalisia na sio hisia. Mayele apewe adhabu kwa kosa Gani? Mpira umeanza kuangalia lini? Scenario kama hiyo ndio imetokea mara ya kwanza kwenye hiyo mechi toka soka lianzishwe? Kama sivyo, wale walio-react namna Ile walipewa adhabu ipi? Je ni Tanzania tu?

Naomba niishie hapo..
 
Yanga kama Fenesi tu, nje miiba mingii kumbe ndani mtamu tu.
 
WASHAZOEA KUBEBWA
 
Una tafta umaarufu
Process wa Mazuzu aliwaaminisha Uto mechi Ni rahisi. Uto walikuwa kwenye ndoto za kuifunga Kagera sugar goli 5.

Unaidharau timu iliyofunga magoli 60 wakati wewe unayo 49.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…