Kool the gang
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 497
- 1,465
Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi. Bufa, The Icebreaker, Lusungo, Dr Matola PhD, Myahudi Jr II Jr II, Isanga family, Kim Jong Jr, Maghayo, Chaliifrancisco fransisco, DR HAYA LAND, Jebel, Forgotten, Black Sniper mnaoje haya mawazo yangu wakuu?.
Ngoja tuwasubirie wazee wa majuu, hao niliowatagi binafsi passport ninayo na nauri ninayo labda waninyime viza tu mkuu.Sasa hapa tushirikishane namna ya kwenda Ukraine kupata ajira
Nadhani haiko mbali kuisha
Kwa Serikali hii mkuu futa wazo, kwasasa wao wanawaza uchaguzi tu.Cha muhimu serekali iongee na yukreni, kuwa watanzania wapo tayari kuja kufanya kazi ya kuijenga yukreni mpya.
Hivyo serekali ya yukren ikihitaji man power ni simu moja tu Tanzania
Dah! Mkuu Urusi bado anashua mabomu yake ujue.Kama unataka fursa hiyo basi wakati muafaka kabisa wa kwenda huko ni sasa wakati Vita ikiwa bado inaendelea.
Twende mkuu, mwezi ujao nitasogelea karibu kabisa nchi ya PolandBinafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi. Bufa, The Icebreaker, Lusungo, Dr Matola PhD, Myahudi Jr II Jr II, Isanga family, Kim Jong Jr, Maghayo, Chaliifrancisco DR HAYA LAND, Jebel, Forgotten, Black Sniper, Masanja mnaoje haya mawazo yangu wakuu?.
Kama passport na nauli unayo tafuta sasa visa ya Poland au Romania hapo ni jirani kabisa na ukraineNgoja tuwasubirie wazee wa majuu, hao niliowatagi binafsi passport ninayo na nauri ninayo labda waninyime viza tu mkuu.
Tanzania haiku unga mkono hadharani au moja kwa moja, vita vya Ukraine na Russia hivyo usitegemee 'share' wakati wa ujenzi. Unakumbuka mzozo wa Kidiplomasia ulio zuka wakati Dr Tulia Ackson alipoenda Moscow aka kutana na President Putin? Kiyv ilitaka Dr Tulia kukutana na Zelensky kwanza kabla ya kwenda Moscow. The rest is history.Cha muhimu serekali iongee na yukreni, kuwa watanzania wapo tayari kuja kufanya kazi ya kuijenga yukreni mpya.
Hivyo serekali ya yukren ikihitaji man power ni simu moja tu Tanzania
Ndiyo, Vita bado inaendelea. Huu Ndio muda mzuri zaidi wa Watu Wahamiaji kuweza kwenda huko Ukraine. Kwa Sasa hivi kwenda nchini Ukraine hakuna vikwazo vyovyote vile vya kuomba Viza, hata nauli ya kwenda huko unaweza kupatiwa kutoka kwa Serikali ya huko au kutoka kwa tawala zingine za nchi za Magharibi ambazo ni marafiki wa Utawala wa Ukraine.Dah! Mkuu Urusi bado anashua mabomu yake ujue.
Kwa Ukraine hali kidogo ipo tofaufi Sana na hizo nchi ulizotaja. Ni kweli Watu wa Ukraine Wana tofaufi zao za kisiasa, lakini tofaufi zao hizo haziwafanyi wao kwa wao kufarakanishwa kabisa na kuanza kupigana Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa kiasi kikubwa Sana Utawala uliopo huko Ukraine unaungwa mkono na Wananchi wengi zaidi wa nchi hiyo. Watu wa Ukraine wameungana Sana ukilinganisha na jinsi hali ilivyo nchini Urusi.Vita haziwezi kuisha maana Kuna uasi utaanza WA ndani Kwa ndani Kwa slwasiokubaliana na sera za zelensky.
Iraq,Libya, Afghanistan n.k
vita zao dhidi ya mabeberu iliisha Ila Bado wananyukana wao Kwa wao Hadi leo hii.
Kwaiyo Ni RISK bado
Ukiona kweli wamesitisha vita unakaa kidogo ili usije ukaenda ukakwama maana Trump haeleweki ila huko kazi zipo hasa Ukraine na wana Technology nzuri wale jamaa unaweza ukaokota kitu..usisubiri eti Serikali itatangaza hakuna kitu kama hicho..Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi. Bufa, The Icebreaker, Lusungo, Dr Matola PhD, britanicca Myahudi Jr II , Isanga family, Kim Jong Jr, Maghayo, Chaliifrancisco DR HAYA LAND, Jebel, Forgotten, Black Sniper, Masanja,Jimena, mwandende Richard mnaoje haya mawazo yangu wakuu?.