Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru.

Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF Members waliokuwa na Macho ya mbali na kusema kuwa atatoka huko akiwa Huru na hatutoamini kabisa.

Kwanini katika Headline yangu nimesema ikitokea kweli Ole Sabaya akaachiwa Huru nitawalaumu sana Watanzania wa Mitandaoni kwa Unafiki wao?

Jibu ni kwamba wakati Ole Sabaya akiwa Ofisini kama DC wa Hai na hata pale alipotumbuliwa tu Watanzania wa Mitandaoni walikuwa wakimshambulia mno huku wengi wao wakijifanya Kumjua sana na kwamba wanna Ushahidi wa Makosa yake yote.

Cha Kushangaza kuna Taarifa nimezipata kutoka kwa Watu walioko huko Mahakamani zinasema kuwa japo Ole Sabaya ameshutumiwa sana na Kuhusishwa na Mambo mabaya mengi ila ama Ushahidi uliopo na unaopelekwa hauna Mashiko au Watanzania wengi ni Wazushi tu na hawajui lolote zaidi tu ya Kuhemka na Kudemka.

Nilikuwa nampinga mno Mtu Mmoja aliyewahi kuniambia kuwa haya Madai yote anayoambiwa Ole Sabaya ni ya Uwongo mtupu na kwamba kuna Matajiri wa Kilimanjaro na Arusha kwa Kushirikiana na baadhi ya Wanasiasa kwa Interests zao tu za Kiuchumi / Kibiashara waliamua Kuungana ili Kummaliza Ole Sabaya na kufanya Propaganda mbaya dhidi yake ambayo pia imefanikiwa kuingia kwa Sisi wana Mitandao na hata huko Uraiani kwa Jamii.

Nimeshajua kwanini Sabaya hana Hofu.
 
huwa namfata malissa kule facebook na twitter namweleza mara kwa mara,aache kutumika kijinga.

yaani pamoja na kuwa mtu mwenye ushawishi ila bado ni dhaifu sana anayekubali akili yake ikayumbishwa kienyeji tu.

pale kesi hakuna,sabaya hafungwi na hakuna mlalamikaji mwenye kesi ya msingi dhidi yake,majinga yanapiga kelele tu.
kuna muda unaona kabisa ni kweli ccm umeichoka,lakini kuitoa kwa huu upinzani wa kuunga unga na uzi,haiwezekani abadani.
 
Kama hujui kusoma uwe unaangalia hata picha zitakusaidia.
Sabaya ashinde kesi asishinde haimaanishi hakutenda anayotuhumiwa nayo. Jitahidi hata kupita mahakamani mara moja moja utajua kuna majambazi wanaachiwa huru huku kila kitu kikiwa walikifanya lakini technical issues zimewasaidia. Mtu anaweza kushitakiwa halafu yeye au ndugu zake wakanunua mashahidi, wakatisha mashahidi au hata wakaua mashahidi. Kushinda kesi mahakamani hakukuondolei uhusika wako kwenye jinai kama ulihusika ulihusika tu.
MWISHO;
Tamko la juzi la PM kwa maRC kutotumia Mabaunsa likusaidie kujua kuna RC/DC serikali ina ushahidi usioacha shaka kuwa alikuwa anatumia Mabaunsa.
KAMA NI VIGUMU KUSOMA ANGALIA PICHA.
 
Mleta post naona hujanywa chai lakini unajalibu kuota ndoto ya asubui,Nyie Mataga jalibuni kumsahau huyo beans wenu Sabaya,hata Kama kula kwwnu mlikuwa mnamtegemea itachukua siyo chini ya miaka 3 hadi mitano ili yatima yake ijulikane,

Kumbuka na UDC siyo cheo Cha kuajiliwa,kwamba atakapotoka ataendelea kuwa DC.
 
Kama hujui kusoma uwe unaangalia hata picha zitakusaidia.
Sabaya ashinde kesi asishinde haimaanishi hakutenda anayotuhumiwa nayo. Jitahidi hata kupita mahakamani mara moja moja utajua kuna majambazi wanaachiwa huru huku kila kitu kikiwa walikifanya lakini technical issues zimewasaidia. Mtu anaweza kushitakiwa halafu yeye au ndugu zake wakanunua mashahidi, wakatisha mashahidi au hata wakaua mashahidi. Kushinda kesi mahakamani hakukuondolei uhusika wako kwenye jinai kama ulihusika ulihusika tu.
MWISHO;
Tamko la juzi la PM kwa maRC kutotumia Mabaunsa likusaidie kujua kuna RC/DC serikali ina ushahidi usioacha shaka kuwa alikuwa anatumia Mabaunsa.
KAMA NI VIGUMU KUSOMA ANGALIA PICHA.

Kwani kutumia mabaunsa kama personal bodyguard n kosa
Ebu nisomee kifungu hicho cha sheria
 
Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru.

Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF Members waliokuwa na Macho ya mbali na kusema kuwa atatoka huko akiwa Huru na hatutoamini kabisa.

Kwanini katika Headline yangu nimesema ikitokea kweli Ole Sabaya akaachiwa Huru nitawalaumu sana Watanzania wa Mitandaoni kwa Unafiki wao?

Jibu ni kwamba wakati Ole Sabaya akiwa Ofisini kama DC wa Hai na hata pale alipotumbuliwa tu Watanzania wa Mitandaoni walikuwa wakimshambulia mno huku wengi wao wakijifanya Kumjua sana na kwamba wanna Ushahidi wa Makosa yake yote.

Cha Kushangaza kuna Taarifa nimezipata kutoka kwa Watu walioko huko Mahakamani zinasema kuwa japo Ole Sabaya ameshutumiwa sana na Kuhusishwa na Mambo mabaya mengi ila ama Ushahidi uliopo na unaopelekwa hauna Mashiko au Watanzania wengi ni Wazushi tu na hawajui lolote zaidi tu ya Kuhemka na Kudemka.

Nilikuwa nampinga mno Mtu Mmoja aliyewahi kuniambia kuwa haya Madai yote anayoambiwa Ole Sabaya ni ya Uwongo mtupu na kwamba kuna Matajiri wa Kilimanjaro na Arusha kwa Kushirikiana na baadhi ya Wanasiasa kwa Interests zao tu za Kiuchumi / Kibiashara waliamua Kuungana ili Kummaliza Ole Sabaya na kufanya Propaganda mbaya dhidi yake ambayo pia imefanikiwa kuingia kwa Sisi wana Mitandao na hata huko Uraiani kwa Jamii.

Nimeshajua kwanini Sabaya hana Hofu.

We jiulize tu kwa mshahara wa DC kapata wapi hela za kununua ndinga kadhaa, kulipa ma bouncer nk.
 
Haponi, ni mtu mdogo sana amekichafua chama vibaya sana, ili kurudisha imani kwa chama haki itatendeka, kama kwa mdude.
Yaani atashangaa miaka inaenda anapanda kalandinga anatoka kwenye kalandinga anapiga ngumi juu ile victory sign lakini kesi inazidi kubana.

Mwisho ataambiwa imeonekana ni vyema aendelee kukaa humo humo kwa muda.
 
huwa namfata malissa kule facebook na twitter namweleza mala kwa mala,aache kutumika kijinga.

yaani pamoja na kuwa mtu mwenye ushawishi ila bado ni dhaifu sana anayekubali akili yake ikayumbishwa kienyeji tu.

pale kesi hakuna,sabaya hafungwi na hakuna mlalamikaji mwenye kesi ya msingi dhidi yake,majinga yanapiga kelele tu.
kuna muda unaona kabisa ni kweli ccm umeichoka,lakini kuitoa kwa huu upinzani wa kuunga unga na uzi,haiwezekani abadani.
Ninakubaliana nawe Ndugu tena 100%.
 
2811995_Screenshot_20210618_115443.jpg
 
Back
Top Bottom