MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru.
Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF Members waliokuwa na Macho ya mbali na kusema kuwa atatoka huko akiwa Huru na hatutoamini kabisa.
Kwanini katika Headline yangu nimesema ikitokea kweli Ole Sabaya akaachiwa Huru nitawalaumu sana Watanzania wa Mitandaoni kwa Unafiki wao?
Jibu ni kwamba wakati Ole Sabaya akiwa Ofisini kama DC wa Hai na hata pale alipotumbuliwa tu Watanzania wa Mitandaoni walikuwa wakimshambulia mno huku wengi wao wakijifanya Kumjua sana na kwamba wanna Ushahidi wa Makosa yake yote.
Cha Kushangaza kuna Taarifa nimezipata kutoka kwa Watu walioko huko Mahakamani zinasema kuwa japo Ole Sabaya ameshutumiwa sana na Kuhusishwa na Mambo mabaya mengi ila ama Ushahidi uliopo na unaopelekwa hauna Mashiko au Watanzania wengi ni Wazushi tu na hawajui lolote zaidi tu ya Kuhemka na Kudemka.
Nilikuwa nampinga mno Mtu Mmoja aliyewahi kuniambia kuwa haya Madai yote anayoambiwa Ole Sabaya ni ya Uwongo mtupu na kwamba kuna Matajiri wa Kilimanjaro na Arusha kwa Kushirikiana na baadhi ya Wanasiasa kwa Interests zao tu za Kiuchumi / Kibiashara waliamua Kuungana ili Kummaliza Ole Sabaya na kufanya Propaganda mbaya dhidi yake ambayo pia imefanikiwa kuingia kwa Sisi wana Mitandao na hata huko Uraiani kwa Jamii.
Nimeshajua kwanini Sabaya hana Hofu.