Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu video n mbaya cjapata ona kafuta mashairi ya msanii wa nigeria M.I na kuweka yke ya kifaransa yaan n mbaya aiseee afadhali video ya darubini kali ya afande sele n nzuriVideo ya Ali Kiba mpya sijaiona ila kwa kweli ni video mbaya mbaya sijapata kuona.
Ikitoka kazi yangu itakuwa ni kuikosoa tu.
Mi nashindwa kumuelewa au kwa vile zinagaramikiwa na menejimenti yake ndo mana zinakuwa mbaya kwa kuwa wanafuata unafuu.Video mbaya sana kiba anazidi kuchemka.
Mi nashindwa kumuelewa au kwa vile zinagaramikiwa na menejimenti yake ndo mana zinakuwa mbaya kwa kuwa wanafuata unafuu.