Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

NAHITAJI MTU ANAEJUA,, JINSI YA KUTIBU NGUVU ZA KIUME ZIJIRUDI KAMA AWALI ANISAIDIE AU NDIYO NIENDELEE KUTUMIA MKONGO MWANZO MWISHO.
Hujaeleweka vizuri.
Je uliwahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume au ilikuwaje?
Unamaanisha kuwa wewe hutumia mkongo unataka kuacha au unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom