Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

hakuna mwanaume ambae anaweza kuwa na tatizo la nguvu za kiume na ashindwe kulitibu,zifuatazo ni njia ambazo unaweza kuzitumia kutibu tatizo hilo
1-badilisha mindest yako-hiki ndicho kichocheo kikuu cha tatizo hili wengi huwa na mawazo kuwa wana upungufu wa nguvu za kiume na hatimae hata kwenye performance yao kweli uwezo hushuka,ukiwa na perception kuwa huna tatizo hilo basi perfromace yako itakuwa ya wastani aua itakuwa ya juu

2-usiwe na papara ,katika tendo jitahidi usiwe na papara nenda taratibu kwa mwanzo kadiri inavyowezeka,ili uweze kuondoa early ejaculation, pale unapopata joto la ghafla ni rahisi kupata early ejaculation hivyo ni lazima kulicontroll joto linaloingia mwilini mwako kupitia slowness ya kufanya tendo kwa gari kuingia gereji,lakini pia kama unaweza jaribu kutoweka full concentration katika tendo hii itakusaidia kutopata hilo tatizo la early ejaculation pia jaribu kupata mtu ambae ana jua tatizo lako na kuweza kwenda na wewe sambamba

3-mazoezi-hii ndio funga kazi ,na hii ndio njia kuu ili uweze kutibu tatizo hilo la erly ejacultion,uume kutokuwa ngangari na kushindwa kurudia roundi ni lazima misuli ya uume yako iwe imara na hadfdb hivyo kutibu hilo tatizo ji lazima uongeze msukumo wa damu katika mwili na mwili upate kutoka jasho mara kwa mara ,na hilo linawezekana kupitia mazoezi tu ,kutumia dawa sio njia sahihi hata kidogo kwani huleta kilema (addicted) miongoni mwa mazoezi mazuri ya kutibu tatizo hili ni mazoezi ya keagal na mountain climber(yaangalie kupitia youtube)

4-pia kama ni mtumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume acha mara moja au punguza kidogo kidogo mpaka hatua ya kuacha lakini pia kama unapendelea kuangalia movies za porn acha kabisa tena mara moja kwani zina athari mbaya mno kwa akili na mwili kwa ujuma wake zinapelekea kutamani kujichua muda wote na kukufanya usione ladha pindi unapokutana na mwenza wako,.


kwa sasa pokea njia hizo nikikumbuka zingine nitarudi,
 
Back
Top Bottom