Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

Inaonekana wewe huna tatizo la nguvu za kiume ila utumiaji wa hizo dawa mnazoita mkongo zimekuathiri kiasi ambacho ukizikosa (yaani usipotumia) unakua na hofu ya kwamba hutaweza kuperform vizuri na hiyo hofu inapelekea ubongo ukubaliane na hali na mawasiliano yanakata.
 
Back
Top Bottom