Joseph midimu
Senior Member
- Mar 8, 2024
- 141
- 210
Ogopa matapeli josephNjoo PM. Nina dawa
NI PRIVATE KWANI,, MSHANGAZI.¿Njoo PM. Nina dawa
Vipi lakini jamaa angu ushaanza kuwashenyenta?Josep elezea shida yako zaidi
Hujaeleweka vizuri.NAHITAJI MTU ANAEJUA,, JINSI YA KUTIBU NGUVU ZA KIUME ZIJIRUDI KAMA AWALI ANISAIDIE AU NDIYO NIENDELEE KUTUMIA MKONGO MWANZO MWISHO.
NGUVU ZA KIUME,, NI TATIZO NDUGU YANGU YAANI UUME LEGELEGE🤗🤗Josep elezea shida yako zaidi
🤗AHAHAHAHAHAHA🤗Ogopa matapeli joseph
NAMAANISHA,, NINA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HIVYO NAHITAJI MSAADA.Hujaeleweka vizuri.
Je uliwahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume au ilikuwaje?
Unamaanisha kuwa wewe hutumia mkongo unataka kuacha au unamaanisha nini?
Kaa mbali na hayo madawa, jipumzishe kwanza, zingatia lishe na mazoezi. Kama Kuna dawa tutatumia iwe natural kwa asilimia 90 hasa vyakula na ushauri uzingatiwe zaidi.NGUVU ZA KIUME,, NI TATIZO NDUGU YANGU YAANI UUME LEGELEGE🤗🤗
🤗AHAHAHAHAHAHAHA🤗JIpe likizo kidogo achana na kutumikia nyuchi
NISAIDIE SASA,,DAWA.Kaa mbali na hayo madawa, jipumzishe kwanza, zingatia lishe na mazoezi. Kama Kuna dawa tutatumia iwe natural kwa asilimia 90 hasa vyakula na ushauri uzingatiwe zaidi.
Usiende tu kumbemenda!Njoo PM. Nina dawa
Susha
ngoj aje ajibu yeyeSusha