Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Mk
Mkuu nakuja pm kukuelekeza namna ya kupona hiyo fangasi kwa kutumia Wild neem,mafuta ya Nazi na Alovera hakika utapona na kusahau tatizo hilo.KUNA JAMBO 1 WENGI HAWALITEKELEZI KATIKA KUJIBU FANGAS FUATANA NA MIMI PM MKUU
Sawa mkuu
 
Nakushauri tafuta dawa moja ya Kimasai, inaitwa Oltemwai. Inakuwa kama mafuta hivi, paka hiyo. Usiache kuleta mrejesho. Ulizia mmasai yeyote anaijua. Ukishindwa kabisa unaweza wasiliana nami nikutumie.
Mkuu
 
Nakupa dawa bure hapa siku mbili tu uje unipe mrejesho ni uhakika asilimia 90,tafuta jani la alovera jipake ile juice yake sehemu husika asubuhi na jioni siku mbili tu uje ushukuru hapa
Mkuu hii dawa inatibu na fangus za kwenye vidole vya miguu?
 
Ukitumia na kila dawa iliyotumwa hapa unaweza upa mwili mshtuko.

Ila naungana na watu wanaosema uangalie chanzo cha tatizo, inaweza kua hilo ndiyo bonge la ishu linalokuzuia kupona.

Kuna mwaka fulani niliishi Temeke katika ile nyumba kulikua na tenki ambalo maji yanajazwa mule na ndiyo hayo mnatumia kuogea.

Wiki baada ya kuanza kutumia yale maji pumbu zikaanza kua kavu na ngozi inabanduka. Yaani si unajua P zinajikunyata kwenye baridi na kwenye joto zinajiachia ila zilikua zimejikunyata muda wote, mikunjo imekua minene yaani hata kuziangalia naogopa.

Nikioga, zinawasha na kuuma kwa pamoja. Maumivu yale ya ukiwa na kidonda halafu maji yapite.

Yaani naweza bandua ngozi yenye ukubwa wa ganda la pipi.

Nilikosa raha. Kwakua binafsi, siwezi kujiita msafi, ila hilo lilikua jipya kwangu na utakaaje mtupu mbele ya mtu kama P ndiyo zimekua vile?

Wiki tangu dalili zionekane kwenye P nikatokwa vipele, vingi, vidogo vidogo, kuanzia kiunoni mpaka magotini.

Nikaenda hospitali nikaandikiwa scaboma lotion. Ebwana yaani nina siku ya nne napaka dawa ila sioni dalili ya ugonjwa kupoa. Kuna maswala yakatokea nikaitwa nyumbani nikaenda nyumbani nikakaa mwezi.

Siku nne tangu niwe nyumbani vile vipele vikapotea.

Wiki mbili mbele P zikarudi katika hali yake ya kawaida.

Nikajumlisha 2 + 2 basi nilivyorudi Temeke nikawa situmii tena yale maji kuogea.

So mkuu hebu angalia wapi hua ni reset point yako inayokurudisha kule kule kwa mwanzo. Kuna raia kasema labda unapiga mke wa mtu cheki na hiyo isijekua ndiyo reset point yako.
 
Hakuna mke wamtu aliyepigwa mkuu
 
Kuna tube nimeisahau ndo kiboko yake yani ukipaka siku hiyo hiyo utashangaa zinabanduka. Halafu pia mafta ya alizeti yaliyokwisha chemsha yakapoa.
Ila la msingi jitahidi sana kuwa msafi kunyoa nywele sehemu hiyo, na usiwe unarudia boxa.
 
Na hivi vitaulo awe navyo vingi vikikauka avipige pasi kabla ya kuvitumia. Boxer nazo azipige pasi
 
Oh no! Kitunguu swaum upake kwenye pumbu erosion, i see humpendi huyo unayemshauri! Mwambie ajirekodu video akigusa tu na kitunguu swaum chake kilichopondwa kwenye pumb[emoji23][emoji23][emoji23]!
Hata hukuelewa. Vitunguu swaumu unameza.
 
Kuna tube nimeisahau ndo kiboko yake yani ukipaka siku hiyo hiyo utashangaa zinabanduka. Halafu pia mafta ya alizeti yaliyokwisha chemsha yakapoa.
Ila la msingi jitahidi sana kuwa msafi kunyoa nywele sehemu hiyo, na usiwe unarudia boxa.
Mkuu bado unajikumbuka jina la hiyo Tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…