KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Watu wachafu kama niniHili ndo jibu la mgonjwa na atapona kwa asilimia zote sababu iliyosababisha kwangu fangasi ni hiyo namba moja nilikua navaa chupi mbichi nilikua naficha ndo imenifikisha hapa na nilikua na vaa chupi sio za coton huu ushauri nimeuchukua mimi nikipaka tubes napona kabisa ila boxer moja navaa mwezi ndo tatizo langu sio kama sina boxer nyingi ila uvivu wa kufua hope ntabadiri tabia
Boxer moja mwezi hufui una pepo?.
Afu ukute mtu anakuja anasema amezunguka hospitali zote hehe
Mtazunguka sana