Suala la matibabu especially fungus Lina wigo mpana kwasababu unaweza andikiwa dawa na ukameza au kupaka na hauwezi kupona bila kugundua chanzo cha tatizo husika mfano.....
Unaweza kuwa unatumia dawa vizuri kabisa lakini still uko exposed kwenye mazingira yanayoleta tatizo mfano uvaaji wa nguo za ndani zenye lastick(mpira) ambazo mara nyingi zinazalisha joto na unyevu unyevu hivyo kupelekea ukuaji au muendelezo wa fungusi..... Uvaaji wa nguo za ndani mbichi, wale Wanaume wanaovaa nguo nane ndani ya suruali...., Usafi binafsi zero
Ili uweze kupona tatizo,
1. Epuka mazingira yote yanayofanya kujitokeza au kusababisha fungusi ( uvaaji wa nguo mbichi, nguo za mipira, kutokuwa nadhifu nikiwa na maana ya usafi binafsi)
2. Tumia nguo jamii ya cotton hasa za ndani, katika kipindi utakachokuwa kwenye matibabu inapofika wakati wa usiku epuka kuvaa nguo za ndani maana tunaamini usiku ni mrefu zaidi kuliko mchana hata namna ya uponyaji inakuwa iko haraka zaidi
3. Tafuta Whitefield paka mara mbili kwa siku na zingatia kila inapofika usiku hakikisha usivae manguo mengi hasa za ndani, pia tumia na fluconazole 100mg OD X14DAYS
Nakutakia uponyaji mwema
[emoji2398] Balvejmumt