Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Pole kwa maswahibu. Kama unahitaji dawa ya kienyeji, chukua punje 10 za kitunguu swaumu vitwangwe na weka chumvi kidogo na maji ya vuguvugu kijko kimoja au viwili. Changanya then kunywa kwa siku 5 asubuhi na jioni. Visipokauka uchawi upo.

Unaweza paka hiyo alovera wakati unatumia swaumu.

Pia uwe unabadili boxer. Mtu boxer moja siku 2 khaaa... Na ukilala achia mbupu hizo zipate hewa.


Tahadhari: Kama una presha ya kushuka usitumie vitunguu swaumu utakufa.

Nipe mrejesho next week 28/07/2021.
Vitunguu saumu na presha ya kushuka unakufa?
 
Dawa ya uhakika chemsha maji ya moto 100 degree Celsius hafu changanya na chumvi ambayo imeiva pamoja na maji, jikande, maumivu makali lakini utapona.
 
Fungus dawa yake ni ndogo sana chukua majani ya mpapai, unga wa tangawizi, kitunguu swaumu na pilipili manga changanya huo mchanganyiko na asali Kisha tumia limao kuupaka huo mchanganyiko mpaka uishe utaanza kuskia uke unavuta Kama ni uume utasimama Dede ukitoa mapovu kaa tena nusu saa Kisha chukua majani ya alovera pakaa ndo uume utalala Kama ni uke utaacha kuvuta. Usipopona utakuwa umelogwa kwa roho zako mbaya na chuki na wizi wa wake za watu kiazi ww
 
I can advice,

Jaribu dawa ya meno Whitedent Herbal. Ile ya kijani. Paka twice per day mpaka upne tatizo linapungua.

NB: kabla ya kupaka oga kwanza na ukauke.

I wish you quick recovery
Unaongea utopolo mtu
 
Dawa ya uwakika chemsha maji ya moto 100 degree Celsius hafu changanya na chumvi ambayo imeiva pamoja na maji, jikande, maumivu makali lakini utapona
Mkuu 100°C unataka aive Hadi nyama?????
 
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.

Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka.

Wakuu nasumbuliwa na Fangasi Sehemu za siri yaani ni muwasho Kukauka kwa ngozi ya Korodani, muwasho wa mapajani Yaani ni muwasho Usio wakawaida. Hamna dawa ambayo sijatumia kama ni hospital nishaenda zaidi ya Kumi tena Kubwa.
Hutapata msaada kwa sababu hujasema ni dawa zipi umetumia ili sasa ushauriwe kutumia dawa zingine.

Lakini nina wasiwasi hiyo sio fungus.

1. Unawashwa muda wote tu, au muwasho unakuwa mkubwa usiku?

2. Sehemu unazowashwa, je kuna uvimbe unakuwa umejitokeza? Yaani viuvimbe vidogo vidogo?

3. Una muda gani na hili tatizo?

4. Je mwenza wako, ana shida kama ya kwako?
 
Drum..ndio kipimo gani?
DRUM.jpg
 
Back
Top Bottom