Nasumbuliwa na Jinamizi hili kila nikilala naomba Msaaada na Ushauri

Badilisha ratiba, lala mchana usiku - kesha macho
 
Omba toba then....Just before to bed sema hivi, mwenyezi MUNGU uliyemuweza, MUNGU uonae visivyoonekana, MUNGU ujuaye maadui zangu na mwenye uweza wa kupigana nao, Mimi nasalimisha vita vyangu kwako Kwan sivijui, naomba upigana nao Kwan mim Sina uwezo wa kupigana nao.Naachilia damu ua YESU katika roho, nafsi na mwili wangu.
 
Lala na TAA ya Mwanga mkali chumbani kwako hautawaona maana hao wanapenda kiza ndio maana wanakujia usiku
 
Okoka, mpe Yesu Maisha yako, amin usiamini, jinamizi litakimbia, hutakuja kuliona tena. Mungu anaweza yote. pia jua, mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi, soma Warumi 1:27
 
Warumi 26-27
26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa. 27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

ENGLISH:
26 Because of this, God gave them over to shameful lusts. Even their women exchanged natural sexual relations for unnatural ones. 27 In the same way the men also abandoned natural relations with women and were inflamed with lust for one another. Men committed shameful acts with other men, and received in themselves the due penalty for their error
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…