Nasumbuliwa na kikohozi kikavu

Nasumbuliwa na kikohozi kikavu

Walikupa dawa gani kuna mtu ana tatzo kama lako anahitaji msahada
Dah! Sikumbuki sana jina la dawa, lakini hata hivyo hali ilijirudia tena. Iliendelea kunitesa sana. Nimeanza kupata unafuu mwaka jana baada ya kutumia sana chai ya tangawizi. So naona imeisaidia. Unakunywa mara mbili kwa siku; asubuhi na jioni. Au ukishindwa hata maji ya vuguvugu unakunywa asubuhi na jioni pia. Kingine awe anapiga mswaki kabla ya kulala. Yaani unapiga mswaki alafu anakunywa maji ya vuguvugu au tangawizi.
 
Back
Top Bottom