Nayna
Member
- Sep 15, 2022
- 6
- 3
Walikupa dawa gani kuna mtu ana tatzo kama lako anahitaji msahadaNilienda herbal clinic walinipa dawa na ushauri so Thanks God am doing good now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikupa dawa gani kuna mtu ana tatzo kama lako anahitaji msahadaNilienda herbal clinic walinipa dawa na ushauri so Thanks God am doing good now
Dah! Sikumbuki sana jina la dawa, lakini hata hivyo hali ilijirudia tena. Iliendelea kunitesa sana. Nimeanza kupata unafuu mwaka jana baada ya kutumia sana chai ya tangawizi. So naona imeisaidia. Unakunywa mara mbili kwa siku; asubuhi na jioni. Au ukishindwa hata maji ya vuguvugu unakunywa asubuhi na jioni pia. Kingine awe anapiga mswaki kabla ya kulala. Yaani unapiga mswaki alafu anakunywa maji ya vuguvugu au tangawizi.Walikupa dawa gani kuna mtu ana tatzo kama lako anahitaji msahada