Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

mariam steven

New Member
Joined
Aug 21, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
 
Madaktari hawajaona kitu? Iwapo wamepima hawajaona kitu basi inabidi Uwaone aidha Pyschologist ama Pyschiatrist.
 
Pole ndugu yangu. Mie si daktari wa binadam lakni kwa haraka haraka hicho kinachokukaba kooni ni mucus.. ambayo inazalishwa kwa wingi kutoka mwilini. Yumkini kuna jambo haliko sawa. Mfano huenda kuna inflammation kali ndani ya mwili, au ni kiashiria cha kuanza kwa ugonjwa flan kama diabetes..

Jaribu kwenda kwa specialists wacheck vitu kama kiwango cha insulini au kiwango cha mafuta (triglycerides) kwenye damu..

Pole mkuu
 
Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
Hello, sisemi kama una hilo tatizo. Ila si vibaya kama ukionana na oncologist pia. The early the better. Jf haiwezi kukuponya itakupa ushauri tu. So ni wewe sasa kuufanyia kazi haraka iwezekanavyo kwa kuonana na wataalam
 
Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks

Pole kwa kuumwa, kuna mambo muhimu ambayo ni ya kuzingatia ili kupata tiba sahihi:

1: Ni sehemu ipi ya koo?
2: Hii hali ilianzaje mfano: ghafla au taratibu?, inaongezeka au iko vilevile siku zote?
3: Kuna wakati unapata nafuu?
4: Vyakula unavyopendelea kula?
5: Ukimeza kuna maumivu au shida yoyote?
6: Umri?
7: Una matatizo yoyote ya maisha?/stress
8: Unapata shida yoyote kwenye kupumua?
9: Unapata shida yoyote kutoa sauti au kuongea?
10: Kuna kikohozi?
11: Kuna wakati unaamka usiku unajikuta kama ulikuwa umekabwa/kukosa hewa au kukohoa sana?

NB: Ni muhimu kupata majibu ya maswali haya na kuonwa na mtaalamu wa afya.
 
Ni stress.

Je kuna kidonda chochote nje ya Koo?
Koo linakuwa kavu?
Kuna muda unakosa appetite?
Kuna kanker sore kwa Mdomo(vidonda)?
Vipi kuhusu chunusi usoni?
 
Kula Tangawizi mbichi tafuna vizuri meza maji yake
Utaniambia mwenyewe
 
Huyo ni pepo nenda ukawatafute waliokoka wakuombee kwa jina la Yesu utapona
 
Mkuu una kitu kinaitwa Acid reflux ambacho sio rahisi kukigundua , dawa yake inauzwa shs 6000 pharmacy ya maji , kama bado kupona unijulishe nikutumie hilo box la dawa mkuu ,
 
Back
Top Bottom