Kuna mambo
Unaweza kutengeneza kama una hitaji la muhimu kufanya hivyo, ila kuna mambo ya kuzingatia wakati unatengeneza:
1: Ni nzuri kukupatia vitamini, madini na kemikali nyingine zinazohitajika mwilini.
2: Uitumie kabla ya mlo kamili.
Ila:
1: Isitumike kama mbadala wa chakula cha kawaida.
2: Usitupe nyuzinyuzi zinazotokana na utengenezaji, bado ni muhimu pia.
3: Kunywa kwa kiasi kwani(glasi moja au mbili kwa siku) ukinywa nyingi kuna viambata kama oxalate ambavyo vinaweza kusababisha mwili usifyonze madini kwa kiasi kinachopasa.
4: Usafishaji kuzingatiwa sana kabla ya utengenezaji juisi.