Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

Mkuu una kitu kinaitwa Acid reflux ambacho sio rahisi kukigundua , dawa yake inauzwa shs 6000 pharmacy ya maji , kama bado kupona unijulishe nikutumie hilo box la dawa mkuu ,
Kwanini usitume jina la dawa au picha ya dawa hiyo hapa hapa? au siku hizi Jf wanazuia kusaidiana kwa namna hii
 
Back
Top Bottom