mariam steven
New Member
- Aug 21, 2021
- 2
- 3
ApanaUna pumu?!
popomaJe sauti imebadilika?
Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
Hello, sisemi kama una hilo tatizo. Ila si vibaya kama ukionana na oncologist pia. The early the better. Jf haiwezi kukuponya itakupa ushauri tu. So ni wewe sasa kuufanyia kazi haraka iwezekanavyo kwa kuonana na wataalamHello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
Ndio nadalili hizoNi stress.
Je kuna kidonda chochote nje ya Koo?
Koo linakuwa kavu?
Kuna muda unakosa appetite?
Kuna kanker sore kwa Mdomo(vidonda)?
Vipi kuhusu chunusi usoni?