Nasumbuliwa na Mafua, Naomba dawa za Asili na Kisasa zinazosaidia

Nasumbuliwa na Mafua, Naomba dawa za Asili na Kisasa zinazosaidia

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli..

Yaan inafikia kipindi nikiwa safe namuogopa sana mtu anayeumwa Mafua maana nikimkaribia tu sichelewi kuyazoa.

So nimekuja kwenu mnisaidie dawa madhubuti za Kisasa au Asili zinazoweza kunisaidia maana yananitesa sana na kuninyima Raha kwenye shughuli zangu.

🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom