Nasumbuliwa na magonjwa ya uzazi, kukosa ute, na hamu sijawahi pata wala sijui ladha yake

Nasumbuliwa na magonjwa ya uzazi, kukosa ute, na hamu sijawahi pata wala sijui ladha yake

😅😅😅😂 Kutokana na hali yake hataweza kuridhishwa mpaka kwanza ajue kujiridhisha mwenyewe 🍹. Kwanini alie kwamba hajawahi kuridhishwa wakati hata yeye hajui jinsi ya kujiridhisha?🫡🫡 Self pleasure is very important key ya kumuwezesha kutoka jela ya upwiru.
Vipi akifanikiwa kujiridhisha na asipate mwanaume sahihi wakumridhisha, si atakuwa addicted na kujichua
 
Vipi akifanikiwa kujiridhisha na asipate mwanaume sahihi wakumridhisha, si atakuwa addicted na kujichua
Kwanini ukimbilie kwenye addiction wakatI hapa anahangaika kutatua tatizo? Watu kibao wanafanya masterbation na wako kwenye mahusiano vizuri tu? Ikitoke addiction ata deal nayo,for now she must find her cumin power first.
 
Habari jamani naomba msaada.

Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.

Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.

images.jpg

Kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa.​

Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa,ni Dalili ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha estrogen kwenye mwili ukilinganisha na homoni ya projestoren.

Kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa.​

1. Kama tulivyotangulia kusema kwamba kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa ni Dalili ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha estrogen kuliko progesterone ila kuna dalili nyingine ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kukosa Ute wakati wa kujamiiana ni kama ifuatavyo.

2. Kukosa hisia na hamu ya kufanya mapenzi.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo hali ya mtu kukosa hisia kabisa na hamu ya kufanya mapenzi inaisha hali ambayo inasababisha wanafamilia kupata shida kwa sababu ya mmoja wapo kushindwa kutimiza wajibu kwa mwingine, kama ikitokea kwa familia ni kitendo cha kukaa na kuongea ili kuweza kupata suluhisho na kupata matibabu mapema.

2. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na malalamiko wakati wa kufanya tendo la ndoa kwa sababu ya kuwepo kwa maumivu makali yanayosababishwa na michubuko ya maumivu kwa sababu ya msuguano unaosababishwa na uume wakati wa tendo la ndoa, hali hii ikitokea usababisha mmoja kuchukia tendo la ndoa kwa sababu ya kuwepo kwa misuguano wakati wa tendo.

3.uwepo kwa damu baada ya tendo la ndoa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa misuguano mikali wakati wa tendo la ndoa usababisha kutokwa na damu baada ya tendo hali hii inaweza kuwepo kwa mda wa siku moja au mbili kwa sababu ya kuwepo kwa misuguano.

4. Hedhi kukosa mpangilio maalumu.
Kwa sababu ya kukosa Ute ina maana kwamba kuna homoni ambayo inazalisha Ute kupungua hata hivyo na katika sehemu mbalimbali za via vya uzazi usababisha hedhi kukosa mpangilio.

5. Kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko mbalimbali kwenye mwili, tatizo hili mara nyingi uwapata wale wanaotumia sana au waliowahi kutumia uzazi wa mpango kwa matumizi ya P2, vitanzi, sindano, vidonge na aina yoyote ya uzazi wa mpango isipokuwa za asili.

6. Kwa hiyo hali hiyo ikitokea kwa familia ni vizuri kabisa kutafuta matibabu mapema ili kuweza kuepuka matatizo ya kuchepuka kwenye familia kwa sababu ya mmoja kati ya wana familia hana kabisa hamu ya mapenzi na mwingine anayo.

Kamuone Daktari akakupime Hormone imbalance na ukitumia dawa za Hospitali hujapona nione mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Fanya kutembelea sehemu moja inaitwa katerero Iko Mtwara mikindani
 
Back
Top Bottom