Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto

Mtu porii

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
42
Reaction score
160
Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira..

Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto..

Nilienda hosptal nikapiga X ray, nikapima vidonda vya tumbo..nkiawa sina na X ray haina shida..

Nikaenda Benjamin mkapa nikapima Kipimo cha moyo ECG na ECHO sina tatzo lolote

Ila bado napata maumiv upande wa kushoto maeneo ya moyo hususan kama kuna barid kali maumivu huzid.. kama nikinywa energy maumiv pia huzid japo kwa sasa nimeacha..

Naomba ushaur wenu mana Mana sijapata muafaka wa suala langu
 
Ngoja madaktari wa JF waje wakupe muongozo wa nini ufanye 🤒😎
 
w
Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira..

Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto..

Nilienda hosptal nikapiga X ray, nikapima vidonda vya tumbo..nkiawa sina na X ray haina shida..

Nikaenda Benjamin mkapa nikapima Kipimo cha moyo ECG na ECHO sina tatzo lolote

Ila bado napata maumiv upande wa kushoto maeneo ya moyo hususan kama kuna barid kali maumivu huzid.. kama nikinywa energy maumiv pia huzid japo kwa sasa nimeacha..

Naomba ushaur wenu mana Mana sijapata muafaka wa suala langu
watakuja mkuu.
 
acha kabisa kitu kinachoitwa energy, kahawa vitinguu swaumu vibichi (kitu caffeine acha kabisa, chumvi nyingi acha kabisa utakuja kufia kny usingizini.

pia nenda pima kwa kutumia ultra sound tena.

Pumzisha mwili wako kula matunda acha stress.

Acha unywaji wa energy narudia
 
UMe
Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira..

Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto..

Nilienda hosptal nikapiga X ray, nikapima vidonda vya tumbo..nkiawa sina na X ray haina shida..

Nikaenda Benjamin mkapa nikapima Kipimo cha moyo ECG na ECHO sina tatzo lolote

Ila bado napata maumiv upande wa kushoto maeneo ya moyo hususan kama kuna barid kali maumivu huzid.. kama nikinywa energy maumiv pia huzid japo kwa sasa nimeacha..

Naomba ushaur wenu mana Mana sijapata muafaka wa suala langu
Pata shida kwenye moyo
 
Back
Top Bottom