Nasumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini pamoja na maumivu ya pumbu.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation.

tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi zimekufa,daktari wakanipatia dawa ya doxlyn and fragly+injection.

Swali,je haya matatizo yanaweza kusababisha ugumba?pia kwa mtu aliyepona alipitia njia gani?

uume wangu unasimama fresh,sina hata chembe ya usaha,mkojo msafi.
 
Pole sana!
Kama umepima na kipimo kikaonesha cell zako za kiume nyingi zimekufa na haziruki,inaweza kupelekea kutokutungisha mimba.Maana yake Sperm zako ni mfu na hata zile nzima ni goigoi hazina uwezo wa kuogelea kwa Kasi kwenda kurutubisha yai la kike.

Kama unapata tatizo la gesi na korodani kuuma Kama ulivyoeleza,hiyo pia ni mojawapo ya dalili ya chango la kiume au wengine husema ngiri.
 
nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation.

tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi zimekufa,daktari wakanipatia dawa ya doxlyn and fragly+injection.

Swali,je haya matatizo yanaweza kusababisha ugumba?pia kwa mtu aliyepona alipitia njia gani?

uume wangu unasimama fresh,sina hata chembe ya usaha,mkojo msafi.
Pole sana 😢
 
Tumbo la chini sijaelewa ila pumbu nimeelewa, anywy pole sana wapo madaktari watakuja
 
Back
Top Bottom