Nasumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini pamoja na maumivu ya pumbu.

uvimbe kwenye njia ya uzazi unaweza kusabababisha gesi na pia kuathiri uwezo wa kubebesha mimba.
 
lakini uvimbe si unamaumivu ya tofauti?mm sipati naumivu mpaka nibinye may be tumbo au hizo kende.
 
nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation.

tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi zimekufa,daktari wakanipatia dawa ya doxlyn and fragly+injection.

Swali,je haya matatizo yanaweza kusababisha ugumba?pia kwa mtu aliyepona alipitia njia gani?

uume wangu unasimama fresh,sina hata chembe ya usaha,mkojo msafi.
kwa dalili hizo ni Hernia nenda hospital kubwa watakusaidia na ni vema ukafanyiwa surgery mapema japo sijui umri wako
 
nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation.

tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi zimekufa,daktari wakanipatia dawa ya doxlyn and fragly+injection.

Swali,je haya matatizo yanaweza kusababisha ugumba?pia kwa mtu aliyepona alipitia njia gani?

uume wangu unasimama fresh,sina hata chembe ya usaha,mkojo msafi.
Pole sana mpendwa
 
Kuwa makini Mkuu pengine ikawa ni Hernia/ Ngiri.
Chango la wanaume.

Ni hatari sana kwa sisi wanaume.
Ni moja kati ya Ugonjwa unaotukata sana sisi wanaume.

Wahi hospital japo hospital ni upasuaji tu.

TUNAOMBA KWA ANAEJUA DAWA YA NGIRI ATUSAIDIE KWA FAIDA YA WOTE.
 
Back
Top Bottom