Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Pole sana 😢nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation.
tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi zimekufa,daktari wakanipatia dawa ya doxlyn and fragly+injection.
Swali,je haya matatizo yanaweza kusababisha ugumba?pia kwa mtu aliyepona alipitia njia gani?
uume wangu unasimama fresh,sina hata chembe ya usaha,mkojo msafi.
Tumbo la chini sijaelewa ila pumbu nimeelewa, anywy pole sana wapo madaktari watakujanimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation.
tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi zimekufa,daktari wakanipatia dawa ya doxlyn and fragly+injection.
Swali,je haya matatizo yanaweza kusababisha ugumba?pia kwa mtu aliyepona alipitia njia gani?
uume wangu unasimama fresh,sina hata chembe ya usaha,mkojo msafi.
hazijavimba🍒 Zimevimba?
Mkuuu upo na ww zinakuuma🍒 Zimevimba?
nahitaji msaada sitaki vichekeshiWw sasa sperm zinatakiwa kuruka sasa utajuaje kuwa zinaruka mudaa huuu
Oknahitaji msaada sitaki vichekeshi
o
Ana maana juu ya kibofuTumbo la chini sijaelewa ila pumbu nimeelewa, anywy pole sana wapo madaktari watakuja
Kuna dawa moja, leo nikitoka kazini bitapiga picha hayo majani utachanganya na majani ya mbaazi unachemsha unakunywa,Ana maana juu ya kibofu
Ujue sio mimi mgonjwaKuna dawa moja, leo nikitoka kazini bitapiga picha hayo majani utachanganya na majani ya mbaazi unachemsha unakunywa,
Nitaiweka hapa usijali, ataona ba wengine wataona ni dawa nzr sanaaUjue sio mimi mgonjwa
Lakini kwa manufaa ya wote iweke tu