Nasumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini pamoja na maumivu ya pumbu.

uvimbe kwenye njia ya uzazi unaweza kusabababisha gesi na pia kuathiri uwezo wa kubebesha mimba.
 
uvimbe kwenye njia ya uzazi unaweza kusabababisha gesi na pia kuathiri uwezo wa kubebesha mimba.
lakini uvimbe si unamaumivu ya tofauti?mm sipati naumivu mpaka nibinye may be tumbo au hizo kende.
 
kwa dalili hizo ni Hernia nenda hospital kubwa watakusaidia na ni vema ukafanyiwa surgery mapema japo sijui umri wako
 
Pole sana mpendwa
 
Kuwa makini Mkuu pengine ikawa ni Hernia/ Ngiri.
Chango la wanaume.

Ni hatari sana kwa sisi wanaume.
Ni moja kati ya Ugonjwa unaotukata sana sisi wanaume.

Wahi hospital japo hospital ni upasuaji tu.

TUNAOMBA KWA ANAEJUA DAWA YA NGIRI ATUSAIDIE KWA FAIDA YA WOTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…