OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 605
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.