Nasumbuliwa na mawe kwenye figo ,msaada wa haraka inahitajika

Nasumbuliwa na mawe kwenye figo ,msaada wa haraka inahitajika

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
 
Mkuu maji ni dawa ya ugonjwa wowote. Nina ushuhuda wa mtu aliyepona huo ugonjwa kwa kunywa maji. Jitahidi kunwa lita hadi 10 kwa siku. Kwa miezi 3-4
ni kweli mkuu maji ni zaidi ya dawa
 
Pole kwa shida hiyo kiongozi, inaonekana pengine hali yako imeshasogea sana, rejea kwa daktari ashauri dawa mbadala, kwa wakati huu kunywa maji kama wadau walivyosema, Lita 10 nadhani exaggeration, anza na Lita 3.5 - 5, ukiamka asubuhi kunywa Lita 1.5 mchana na jioni kiasi hicho hicho, u siache kwenda hospitali pamoja na hayo yote!
 
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.

Me nna tatizo kama lako nakunywa dawa ya maji ili kuyayeyusha,,,,,na tangu nitumie
nimepata nafuu kiasi chake,,,nataka nikapige tena utrasound kucheki kama yameish au la,,, Dawa iyo hapo》》》》 /// DISODIUM HYDROGEN CITRATE LIQUED (cital)

Inauzwa elfu kumi tu mkuu,,, Ila inatakiwa unywe maji pia kwa sana,,,,me kwa sasa nakunywa maji lita tano kwa siku na nshazoea na nayapenda maji balaa
 
Back
Top Bottom