Lita 10?? MmhMkuu maji ni dawa ya ugonjwa wowote. Nina ushuhuda wa mtu aliyepona huo ugonjwa kwa kunywa maji. Jitahidi kunwa lita hadi 10 kwa siku. Kwa miezi 3-4
yuko wapi huyo miss natafuta?Miss Natafuta alikuwa na tatizo kama lako.... Ngoja akupe link ya thread yake
ni kweli mkuu maji ni zaidi ya dawaMkuu maji ni dawa ya ugonjwa wowote. Nina ushuhuda wa mtu aliyepona huo ugonjwa kwa kunywa maji. Jitahidi kunwa lita hadi 10 kwa siku. Kwa miezi 3-4
Ashapigwa ban siku nyingiyuko wapi huyo miss natafuta?
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
Mkuu ukiwa na tatizo mbona unakunywa na zaidi,,,omba Mungu akunusuru bossLita 10?? Mmh
Ni hatari maumivu yake,,,unaweza hata usitembee,,,maumivu makali mnooooDah kaka samahan hivi dalili zake znakuwaje/ au unakuwa unajisikiaje
Pitia hizo link....yuko wapi huyo miss natafuta?
Mkuu humu ukitoa namba yako ya Simu tu,,umeenda na maji,,; kama una Tatizo ilo nenda hospital boss,,; we upo mkoa ganimkuu mbona pm zinagoma kwako.ebu nipm unipatie namba zako