Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

trisha cute

Senior Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
194
Reaction score
608
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]

Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.

Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.

Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.

Nifanye nini !?

1624943823206.png
 
Sasa sisi tutakushauri nini bi mkubwa ilhali weye wajijua zaidi ya tukujuavyo?

Mwanamke kutongozwa ni suala la kawaida, na pengine huongezeka kama ukiwa wavutia sana au ukiwa mazingira wanaume ni wengi...
 
Una seek validation and attention kutoka opposite sex hauipati, wether in real life au kwenye social media zako..
hilo ndio tatizo lako...

Napia umesema umeanza kujichukia - yawezekana una insecurities flani flani zinazokufanya uone kana kwamba wanaume wote kuna jambo wamekukosea..

yawezekana jamaa yako uliyekuwa nae kwenye mahusiano kuna vitu alikwambia /kukufanyia vimekuathiri kisaikolojia..
 
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]

Nimekuwa Ni mtu ambae Sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata
Mtafute jamaa wako wa mwisho muombe msamaha, thank me later.
 
Sura yako nzuri au mbaya?? Kama ya Extrovert
Umbo lako zuri kama la madam cute au baya?
Umri wako ni wa zuchu au hadija kopa? kama huwajui muulize warumi
wallet yako ni ya level ya vits kama ya GENTAMYCINE au ist kama ya Madame B (tuanzie hapo)

Rangi yako ni downloaded au uploaded? Ile inayosambazwa na Bujibuji ?

Unatumia nipige tafu au niwezeshe?? Hapa utamuuliza Miss Natafuta

Unamtuamiaga Mshana Jr au Rakims

UsiniJIbu hapa ...nijibu pm mapema..kabla wale wa CHA ASUBUHI kama Kasie hawajaamka
 
Sura yako nzuri au mbaya?? Kama ya Extrovert
Umbo lako zuri kama la madam cute au baya?
Umri wako ni wa zuchu au hadija kopa? kama huwajui muulize warumi
wallet yako ni ya level ya vits kama ya GENTAMYCINE au ist kama ya Madame B (tuanzie hapo)

Rangi yako ni downloaded au uploaded? Ile inayosambazwa na Bujibuji ?

Unatumia nipige tafu au niwezeshe?? Hapa utamuuliza Miss Natafuta

Unamtuamiaga Mshana Jr au Rakims

Usinibu hapa ...nijibu pm

Ukiskia ramli chonganishi ndo hii 😅.
 
Una stress flani zinazopelekea kuwa hivo na pengine zimetokana na jambo ama matukio yaliyofanywa na mwanaume juu yako, ama kiujumla mahusiano uliyokuwa nayo kuna mahali yamekuachia kovu moyoni na akilini mwako linalopelekea kuwa hivo juu ya hao viumbe..
 
Una stress flani zinazopelekea kuwa hivo na pengine zimetokana na jambo ama matukio yaliyofanywa na mwanaume juu yako, ama kiujumla mahusiano uliyokuwa nayo kuna mahali yamekuachia Jovi moyoni na akilini mwako linalopelekea kuwa hivo juu ya hao viumbe..
Jovi au GOVI?? samaahan lakin
 
Back
Top Bottom