Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mwanaume wa kukupiga pumbu pumbu hiyo ndo Best solutions itayokuokoa kutoka ktk hiyo haliiiImekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]
Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.
Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.
Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.
Nifanye nini !?
[emoji16][emoji16][emoji16]Hizi ni dalili za nyege ,mfuate PM nizipunguze.
Hahaha [emoji23]mtu ashakuambia hana hisia hata kabla haujaongea nae....sasa utamkolesha wapi....shauri yako nenda akakunyofoe KIKOJOLEO
Ushauri mzuri sana huu[emoji122][emoji122][emoji122]Mie ushauri wangu ni huu kwako, Kama wewe mkristo fanya kufunga siku moja au mbili kavu na nenda sehemu uwe peke yako zima Hadi simu zako, kisha mwambie Mungu nisamehe kwa makosa yangu naomba niwasamehe wote walionitendea tofauti hakikisha unamaanisha kutoka ndani usijizuie Kama unaweza kulia Lia haswa omba sana, ukipata mda wa kupmzika chukua Biblia
Mungu akusadie
Na hilii ndio jibu sahihi [emoji1474][emoji1474][emoji1474]Muda mwengine nyege zikizidi sana huwa hayo yanatokea. Tafuta bwana akunyooshe vizuri,utaludi kwenye hali yako ya kawaida. Utanishukuru baadae..[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Akaonane na Psycologist au The rapist?Umeathirika kisaikolojia.Nenda kaonane na psycologist/therapist.Pole kwa unayopitia!
Yaani chief kwa Dar unajipigia promo sio?
Hahahah ubatizo wa motoUsijali, hiyo ni hali ya kawaida tuu. Utazoea. Unaonekana wewe bado mgeni kwenye maswala ya relationships na bado ulikua na ule utoto wa kuamini kwenye true love. Sasa umepigwa ka tukio unaona kama dunia yote imekuelemea. Hayo ni mambo ya kawaida, usichukulie personal wala huna haja ya kukasirikia wanaume. Wanaume ndio tulivyo kwa vibinti virembo kama wewe hua tunamega na kusepa no hard feelings. Pull urself together, collect the pieces and move on maana ukijidai we ndio unajua saana kukasirika haitakusaidia na sanasana utaharibu na mambo mengine sasa ofisini nk.
Ana nyege huyu mwanamke inatakiwa akunjwe kunjwe vizuri apelekewe moto usiku kucha akiamka hata kusogeza mguu hawezi 😅😅😅Muda mwengine nyege zikizidi sana huwa hayo yanatokea. Tafuta bwana akunyooshe vizuri,utaludi kwenye hali yako ya kawaida. Utanishukuru baadae..😎😎😎😎😎
Honestly una disorder ya kiakili tu seems you haven’t let go of what hurt you earlier kwenye uhusiano! Live to love other people isiwe heartbreak moja ikakufungia milango ya baraka kwa vijana wengine.Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]
Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.
Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.
Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.
Nifanye nini !?
Wakali kichizi yani stress mbaya sanaHali kama hiyo huwakuta wanawake wengi ambao umri umesogea sogea halafu hana mtoto wala mme.... wanakuaga kama wamepakwa pilipili.
Pole
Kwa kimatumbi, mwambie tu hajapata mwingine wa kumzibua vizuri...
Hata upele ukikosa kucha za kuukuna, muwasho wake huwa wamkera muota upele
Hujakazwa vizuri....Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]
Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.
Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.
Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.
Nifanye nini !?
Its not funny when you make other peoples problem a joke! Its cyberbullying!Akaonane na Psycologist au The rapist?
[emoji2377][emoji2377][emoji2377] I mean Psycologist + TherapistIts not funny when you make other peoples problem a joke! Its cyberbullying!
Yeah rite like you really meant it!Some people come here with real issues but some advice can mess them up more.This is serious!I cannot even imagine how this person feels right now!You have to be banging someone to get cured from a mental disorder... Wow 😮[emoji2377][emoji2377][emoji2377] I mean Psycologist or The rapist
....= Psycotherapist!