Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Fika mirembe kwa ushauri zaidi,utakuwa unasumbuliwa na matatizo ya akili mkuu!,fanya haraka kabla tatizo halijawa kubwa
 
Jifunze kujisamehe ndani ya moyo wako ,ili uone mapito uliopita yalikuwa yakukujenga kinafsi syo kukuacha na majeraha,jitengenezee furaha ndani yako kwa kusahau uliopita iwe rahisi kujisamehe na kusahau nauanze upya ujione kwamba ,ya zaman s kitu kwako ili hali usonge mbele . Na jifunze kuona hali unazozipitia zsiondoe furaha ndani yako.
 
Mie ushauri wangu ni huu kwako, Kama wewe mkristo fanya kufunga siku moja au mbili kavu na nenda sehemu uwe peke yako zima Hadi simu zako, kisha mwambie Mungu nisamehe kwa makosa yangu naomba niwasamehe wote walionitendea tofauti hakikisha unamaanisha kutoka ndani usijizuie Kama unaweza kulia Lia haswa omba sana, ukipata mda wa kupmzika chukua Biblia soma kitabu Cha Matendo ya mitume kwanzia sura ya 10 na kuendelea uone jinsi watu walitendewa mabaya lakini hawakujibu kwa ubaya.

Kila siku uamkapo na unalalapo chukua hatua ya kuomba Toba japo kwa dakika kumi na soma japo sura moja tu kwenye Biblia kitabu chochote, fanya hivyo bila kukoma hapa utajikuta imekuwa mtu wa tofauti sana maishani mwako unaweza kuja kuwa mke Bora kupita kiasi.

Naandika haya naelewa mtoto wa kike huwa anakula ni mtu wa namna gani haswa akitendwa sana na watu wanaowapenda kupita kiasi, please chukua ushauri huo utakuja nimshukuru baadae tofauti na hapo utaishia kufukuzwa kazi na kuishia kulewa na kuishia pabaya mno.

Mungu akusadie
Thanks ntalifanyia Kaz[emoji24]
 
Yeah rite like you really meant it!Some people comes here with real issues but some advice can mess them up more.This is serious!I cannot even imagine how this person feels right now!You have to be banging someone to get cured from a mental disorder... Wow [emoji50]
Nmeshangaa na Mimi
 
Honestly una disorder ya kiakili tu seems you haven’t let go of what hurt you earlier kwenye uhusiano! Live to love other people isiwe heartbreak moja ikakufungia milango ya baraka kwa vijana wengine.

Ukiniuliza deeply kinacholeta hasira zako ni upweke. You feel so bad with the lonliness but yet guilty of giving yourself to someone who hurt your feelings earlier! Mpe nafasi mtu mpya trusting kuwa ataku treat vyema tu bila kuwa na grudge!

Quick solution tafta mtu mtiane sana yani ile sana uondokane na hio feeling ya kipumbavu! Naamini ukishaingia kwenye uwanja wa mapenzi utakuwa relaxed nyege zikizidigi kwa wanawake zinaletaga hali flani ya ukichaa wengine wanachekaga hovyo wengine ni watu wa hasira hasira!
Thank you so much kwa ushaur wako wako ,nawashukuru wote mlionishauri[emoji120]
 
Honestly una disorder ya kiakili tu seems you haven’t let go of what hurt you earlier kwenye uhusiano! Live to love other people isiwe heartbreak moja ikakufungia milango ya baraka kwa vijana wengine.

Ukiniuliza deeply kinacholeta hasira zako ni upweke. You feel so bad with the lonliness but yet guilty of giving yourself to someone who hurt your feelings earlier! Mpe nafasi mtu mpya trusting kuwa ataku treat vyema tu bila kuwa na grudge!

Quick solution tafta mtu mtiane sana yani ile sana uondokane na hio feeling ya kipumbavu! Naamini ukishaingia kwenye uwanja wa mapenzi utakuwa relaxed nyege zikizidigi kwa wanawake zinaletaga hali flani ya ukichaa wengine wanachekaga hovyo wengine ni watu wa hasira hasira!
Sawa dokta love
 
Nenda katafute msaada kwa professionals rafiki yangu hapa watakuvuruga akili tu.Utakuwa sawa ukiongea na mtu,umueleze shida yako na ukipata msaada sahihi wa anger management problem ♥️
Mkuu ni sawa kwa kumshauri lakini pia hapa panaweza kuwa na wataalamu wazuri kupita hata hao wengine, maana Jf imekusanya kila idara humu kikubwa achague kilicho sahihi na takataka atupe
 
Ni kujiendekeza tu, we mwenyewe ushajua unachofanya sio Sawa ila hutaki kubadilika.

Tabia yako pia imechangiwa na malezi au makuzi. Unaonekana Walikutendekeza sana wazazi wako.
hili nalo neno
 
Sweetheart, time is a good healer

Give yourself a time.


Rise​

Gabrielle

I know that it's over
But I can't believe we're through
They say that time's a healer
And I'm better without you
It's gonna take time I know
But I'll get over you
Look at my life
Look at my heart
I have seen them fall apart
Now I'm ready to rise again
Just look at my hopes
Look at my dreams
I'm building bridges from these scenes
Now I'm ready to rise again

Caught up in my thinking
(Yeah)
Like a prisoner in my mind
You pose so many questions
That the truth was hard to find
I better think twice I know
That I'll get over you
Look at my life
Look at my heart
I have seen them fall apart
Now I'm ready to rise again
Just look at my hopes
Look at my dreams
I'm building bridges from these scenes
Now I'm ready to rise again
Much time has passed between us
Do you still think of me…

imgres.jpg
 
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]

Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a fast panic person yani sitaki kuongeleshwa na Kaka wa aina yoyote ( mwanaume yyote ) ambae anakuja kwa habar za mahusiano Yan sometimes hata mwanaume akiwa anaanzisha maongez na Mimi I sometimes najikuta namsikiliza Afu nisimjibu Yan au naweza kuta nmemfokea tu from no where.

Muda mwingine nimekua hata nkimuona mwanaume anaonesha Hali ya kuniangalia sana najikuta namgombeza like it's a big deal napaniki tuuuh mda wote yan dah mpaka nmeanza kujichukia sasa na hiz Tabia sometimes I try kurudi katika Hali yangu ya zaman then najikuta tu hii Hali inajirudia.

Tena juzi was even worse nilijikuta namjibu boss wangu aliniuliza juu ya Jambo la kazi " we Ni ndo wale wale tu mbwa usinibabaishe ikasababisha mzozo mkubwa sanaa mpk Sasa Mambo hayapo sawa ofisin kwangu najichukia with this condition=, I want my self back I want me.

Nifanye nini !?

You need love,from psychological view, unamiss upendo kutoka kwa mtu wako wa muhimu sana either mpenzi au family, halafu you are stressed with a certain situation

Talk to someone you trust about your situation and whatever you are facing, halafu stop spending time alone, jichanganye hata kama ni ofisini try to put up a good mood, zungumza na watu,usitumie muda mwingi kuwaza hali unayopitia bali tumia muda mwingi kufanya mambo mengine na ku socialize na watu
Tafuta namna bora ya kusort out hali unayopitia kwenye mahusiano yako ikiwezekana give each other a space to rethink of the relationship na kuna kama kuna haja ya kuendelea au la
 
Shugaa, nichagulie kati ya kiwi hizi mbili moja niikong’oli leo jioni...

1. Ice cream 🍨 @Snowcream

2. Amarula @Karambezi

Hata lunch sili leo ili nisipunguze kiwi yangu ya jioni 😋😋.

Baada ya hapo muwasho utahitaji kidole cha ......... 😅🏃🏽‍♀️.

Karambezi all the time honey!!

Pale unapiga na kupigwa kiwi all at once...😉😉
 
Ni sahihi unavyojiskia, si sahihi kuendelea kujiskia unavyojiskia.

Mapenzi yakivunjika inaumiza yes, uliwekeza muda, hisia,nyakati, akili.
So uko sahihi kujikisa vyovyote unavyojiskia.

Ila usiache hiyo hali iendelee kwa muda mrefu.
Na njia ya kuitoa sio kuingia kwenye mahusiano.
Maana,
Hulazimiki kuwachukia wanaume ili kuwa sawa.
Wala hulazimiki kuwa kwenye mahusiano mapya ili kuwa sawa.
Kwanza kuanzisha mahusiano mapya ukiwa na majeraha ili tu upone ni kujidanganya.

So quit kuwachukia wanaume.
Ishi nao, wafanye rafiki zako.
Una familiar, fetch and give love to and from them.
Una marafiki wanakupenda embrace their love.
Kwa kufupi ni, Endelea na maisha yako.
Zaidi ya huyo partner walo ulikuwa na maisha mengine kabla na nje ya yeye.
Yaishi hayo.
Wanaume wazuri wapo na wapo tena.
Mtu mmoja kwenye maisha yako asikufanye uone maisha yote hayawezekani.

Hasira za nn?
Unakimbiza bure fursa ya kuwa na furaha.
Jikung'ute songa mbele mama.
Mapenzi yanazaliwa na kufa kila siku.
Mapenzi yanafurahiwa na kuumiza kila siku.

Na maisha yanaendelea tu.
Sasa endelea na hiyo hasira na chuki uone kama dunia hii itakutizama katika ubora wako.
 
😁😁Karma is a bitch. Hapa naivutia picha sura ya jamaa aliyepoteza muda wake mwingi kwa ajili yako ila hukumthamini na sasa kaondoka na hatorudi tena.
 
Back
Top Bottom