mariam steven mgonglwa
Member
- Oct 18, 2017
- 24
- 5
Hivyo vichembe vina rangi kama ya Njano si ndio ama?Asnte san
Ndio ni yanjanoHivyo vichembe vina rangi kama ya Njano si ndio ama?
PoahHahah.vi google hvyo nmesahau jina lake,ila hvyo ndo asil ya haruf ya mdomon,..nilikua naangalia sku1 e doctors walikua wanaongelea hyo,wanasema sasa hiv wanavitoa na ukifanikiwa kuvitoa hvyo vyote haruf za ajab ndo bye bye,wala sio ugonjwa ila kwako inaelekea vmezid,na havina madhara,
NdioHivyo vichembe vina rangi kama ya Njano si ndio ama?
Asant mkuuHizo ni tonsil stones. Ni kitu cha kawaida. Ukienda hospitali wanavitoa kwa urahisi sana na kwa vifaaa maalumu vya usafi wa kinywa.
Nenda clinic ya meno muone dokta muelezee then akusaidie.
Shukrani, mkuu nenda Hospitali kitengo cha meno waelezee unavyo jisikia then watakutibu. Usipate Shida Kabisa iyo Ishu inatibika haswaaaa.Ndio
AsantePole mkuu ufanyiwe wepesi upone