Nasumbuliwa na tatizo hili kwenye koo

Nasumbuliwa na tatizo hili kwenye koo

Joined
Oct 18, 2017
Posts
24
Reaction score
5
Habari zenu wana jf mwenzenu nasumbuliwa na mate mazito kitu kinanibana ndani ya koo wakati mwingine niki kohoa natoa vichembechemb vidogo vidogo vyeny halufu mbaya kam mtu mwenye tatizo la kunuka mdom naombeni meongozo madoctar ni tatizo gani hili santen
 
Hahah.vi google hvyo nmesahau jina lake,ila hvyo ndo asil ya haruf ya mdomon,..nilikua naangalia sku1 e doctors walikua wanaongelea hyo,wanasema sasa hiv wanavitoa na ukifanikiwa kuvitoa hvyo vyote haruf za ajab ndo bye bye,wala sio ugonjwa ila kwako inaelekea vmezid,na havina madhara,
 
Poah
 
Halafu vinaambukiza

Hata kama huna tatizo la harufu mbaya mdomoni...ukikaa na kuvuta pumzi ya mwenye harufu mbaya...baadae unajisikia nawewe kuwa na harufu hiyo.
 
Wakati mwingine kama nimzee wa uvinza ukizama kwa mwenye gonjwa la zinaa hali hiyo pia hutokea
 
mzee ulizama chumvin au kunusa kitu chenye uchafu?Kanunue Azithromycin utakuwa una bacteria infection kwenye koo utaanza kutoa makohozi yenye damu soon
 
Back
Top Bottom