chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 865
Piga 255-719196408 upate tiba karibu.Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri.
Je, ni dawa gani inaweza nisaidia nikapona tatizo la genital warts, kwa wake ambao mshapatwa na tatzo hili mlitumia dawa gani mkapona?
Msaada please madokta [emoji120][emoji120][emoji120]
Weka Picha, ingefaa Zaidi,Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri.
Je, ni dawa gani inaweza nisaidia nikapona tatizo la genital warts, kwa wake ambao mshapatwa na tatzo hili mlitumia dawa gani mkapona?
Msaada please madokta [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu kuwa serioustuma picha ama njoo PM
Ufike hospitalini upate Matibabu ,Mara nyingi husababishwa na HPV -Human papilloma viruses . Matibabu yapo ya dawa na cauterization lakini utahitajika kufanya vipimo zaidi vinavyo endana na hiyo condition.Naomba kuwasilisha
Ni zipi tiba za ugonjwa wa genital wart (vinyama pembeni mwa uke )...!
Je ni surgery?
Dawa za kupaka?
Au kuna tiba asili za kuondoa hizi mambo maana inafikia wakati hata kutengea ni shida na hata kukaa pia.
Karibuni wajuzi.
It's always caused by Human Papilloma Virus (HPV)Ufike hospitalini upate Matibabu ,Mara nyingi husababishwa na HPV -Human papilloma viruses . Matibabu yapo ya dawa na cauterization lakini utahitajika kufanya vipimo zaidi vinavyo endana na hiyo condition.
Yap but kuna non hpv genital wartsIt's always caused by Human Papilloma Virus (HPV)
Kinyama kimoja ni mwezi sasa.!Genital warts ni sexual transmitted disease ,una mda gani tangu umepata hivyo vinyama
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Sio mbaya,unaweza kwenda hospitali lakini kama utakubali tumia hii dozi yaani acyclovir vidonge(dosage 7days 2x3 kwa siku na acyclovir cream unatumia kwa wakati mmoja na hakikisha umemaliza doziKinyama kimoja ni mwezi sasa.!