Nasumbuliwa na tatizo la genital warts

Naomba kuwasilisha

Ni zipi tiba za ugonjwa wa genital wart (vinyama pembeni mwa uke )...!

Je ni surgery?
Dawa za kupaka?
Au kuna tiba asili za kuondoa hizi mambo maana inafikia wakati hata kutengea ni shida na hata kukaa pia.

Karibuni wajuzi.
Dawa yake ni kuvikwangua tu...
 
Niliwahi kupata huu ugonjwa nikaenda hospitali nikapewa kijiti ambacho kwa juu kina dawa ambayo unapaka kwenye hizo warts.Hiyo dawa huchoma na kuziunguza kabisa hizo warts.Nilipona moja kwa moja hata huwezi kujua kama niliwahi kupata huo ugonjwa.Hiyo dawa ya kuchoma ni bora sana kwa huu ugonjwa.
 
Sasa tiba inapatikana vipi bila kuona tatizo. Hata akienda hospitali ataambiwa aonyeshe penye tatizo.
Anaweza akahisi ni warts kumbe ni punye.
Ndio kusema atume picha...
Kumbuka ni sehemu za siri mkuu
 
Silver nitrate inaitwa,
 
Inaitwaje hiyo dawa mkuu
 
Alafu uache kuliwa na watu wachafu wachafu wenye magonjwa ya ajabu ajabu utakuja kupata ukimwi ufe na mzigo mwilini
 
Kiufupi Kama vile nilibakwa maana sikua na mahusiano na mtu huyu.

Nataman kwenda police nikamfungulie mashtaka hivi inawezekana???

Nitaambiwa ushahidi nitaonyesha nini ?? Moyo wangu unaniuma sana
Ulifurahia tendo kama siku hiyo hiyo hukuenda leo unalalamika nn tibu gonjwa hilo alaf siamini kama ulibakwa
 
Piga 255-719196408 upate tiba karibu.
Lipia Tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…