Nasumbuliwa na tatizo la genital warts

Your browser is not able to display this video.
 
Kiufupi Kama vile nilibakwa maana sikua na mahusiano na mtu huyu.

Nataman kwenda police nikamfungulie mashtaka hivi inawezekana???

Nitaambiwa ushahidi nitaonyesha nini ?? Moyo wangu unaniuma sana
mkuu nenda kashtaki usidhurumu haki yako au ulikula vyake uyo mtu
 
Naomba kuwasilisha

Ni zipi tiba za ugonjwa wa genital wart (vinyama pembeni mwa uke )...!

Je, ni surgery?
Dawa za kupaka?
Au kuna tiba asili za kuondoa hizi mambo maana inafikia wakati hata kutengea ni shida na hata kukaa pia.

Karibuni wajuzi.
Weka picha
 
Huo ni ugonjwa wa zinaa pambana hauponi ni kama vita Mimi nilikuwa kila Dawa
 


ukichelewa dude itakua kama uyoga! nenda hospital sio mtandaoni
 
ilaa aisee haya mambo hatarii sanaa...uzinzi malipoo yake duuh!
 
Bei gani iyo dawa na inaitwaje?
 
hahaha amna treatment ya warts 😂😂😂. kuna expensive cryotherapy. nayo ina high recurrence. kama umepata imeisha hiyo. viral infection
 
hahaha amna treatment ya warts 😂😂😂. kuna expensive cryotherapy. nayo ina high recurrence. kama umepata imeisha hiyo. viral infection
Mwambie aweke picha Madaktari tukague acha zako wewe hata watoto walioungana uti wa mgongo wanatenganishwa bila kisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…