Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Sijui hii hali itakoma lini inanitia hasira sana sijui kitu gani kinanifanya kuwa hivi aisee sasa sijui kwanini naogopa ogopa huu si ni ujinga? Wakuu naombeni msaada jinsi ya kutongoza aisee nakerekwa na kuchukia aiseee
Unakuta kuna demu unamuelewa ila unashindwa kumface kwa sababu ya uoga na sijui kwanini naogopa inafika hatua najiuliza nini shida? Na sipati jibu la kueleweka kwenye akili yangu! Naombeni msaada aiseee