Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

Mkuu, upole hadi kwa wanawake?!

Mimi pamoja na upole, nikimwona mwanamke mwenye uzuri ninaotaka, nambwatukia kwamba nampenda.

Upole uwe kwenye mambo yote lakini siyo wanawake. Tembeza rungu mzee
 
Jiamini kwanza naona tatizo ni kutokujiamini na hii inachangiwa zaidi na nyetogo. Acha nyetogo.

Alafu mwanaume kutongoza ni kawaida usiogope majibu yatakuaje au utaonekanaje kwa sababu hata wao kutongozwa ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…