Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

ww jilipue! yani jitoe ufahamu mface huyo mrembo wako mwambie hali halisi jinsi unavyompenda, huku ukimtazama machoni usimuogope, msifie haswa, akitabasam tu mjaze maneno matamu mpaka arojeke.>>
 
Kwani upo kijiji gani mkoani? Maana kama ni mjini watu hawatongozi siku hizi, una mwelekeza tu kisela
 
Ukiona umejua tatizo basi jua umeanza kupona -psychology
 
Kwa swala la wanawake huwa akili zinahama kabisa, Kuna dem aliwahi kutoka Loliondo huko akasafiri mpaka mwanza kunifuata mimi..

Tena niligoma kumtumia nauli, akaja kwa hela yake
Duuh hii ilikuwaje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…