Poa mkuu nitapitiaCheck apa nazan utapata msaasa Http://uti.ac.tz
Kakuingiza chaka wala usipitiePoa mkuu nitapitia
Nawashwa kwa ndani,pia homa ya mara kwa mara.kingine nilipima kipimo cha VDRL,ndipo nikapima UTI.ndio dactari akanimbia nina UTIPole sana mkuu
Lkn ningependa uelezee vzr dalili zako ktk hilo tatizo inawezekana isiwe UTI au ikawa imeambatana na mengine lkn ukaitibu UTI na mengine yakabakia.
Umegusia kuwashwa je ni sehemu zipi haswa maana UTI yenyewe huleta maumivu makali haswa wakati wa kukojoa na pia homa kali.
Elezea kdg kwako iko ktk namna gani.

Tuambie dalili sisi tutakuambia ugonjwa ....Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa sindano 5 ambazo nilimaliza juzi j3,ila now muwasho umeanza tena.wataalam mlioko huku naombeni mnipe njia mbadala pengine itanisaidia.usiku mwema
hapo sijui aisee kwani ngoja waje washauriMimi wa kiume
Nenda hospitali ukafanye kipimo kinaitwa Urine for culture & Sensitivity.Nawashwa ndani ya uume pamoja homa