lekumok
JF-Expert Member
- Feb 8, 2018
- 589
- 770
Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa sindano 5 ambazo nilimaliza juzi j3,ila now muwasho umeanza tena.wataalam mlioko huku naombeni mnipe njia mbadala pengine itanisaidia.usiku mwema