Nasumbuliwa na UTI,nipeni njia mbadala wapendwa.

lekumok

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
589
Reaction score
770
Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa sindano 5 ambazo nilimaliza juzi j3,ila now muwasho umeanza tena.wataalam mlioko huku naombeni mnipe njia mbadala pengine itanisaidia.usiku mwema
 
Kanunue Carbonate Soda ile wanayotumia kukandia maandaz , koroga na Maji kwenye grass vijiko 2 kutwa kunywa glass tatu ..dozi ya siku 7 usipopona ujue una Tezi Dume
 
Amplify your complains,with specific symptoms your getting..,any discharges with their colour+oldour also the disharge amount and frequency plus the aggreviating and relieving factors.,also explain any pain you are experiencing..,, do not relie on UTI only
 
Nenda hospital upimwe ili upewe dawa za uti....dawa nzur kabisa ni TRIMETHOPRIM-SULFAMETHOXAZOLE,pia levoflaxacin,ciproflaxacin znatibu
 
Pole sana mkuu
Lkn ningependa uelezee vzr dalili zako ktk hilo tatizo inawezekana isiwe UTI au ikawa imeambatana na mengine lkn ukaitibu UTI na mengine yakabakia.
Umegusia kuwashwa je ni sehemu zipi haswa maana UTI yenyewe huleta maumivu makali haswa wakati wa kukojoa na pia homa kali.
Elezea kdg kwako iko ktk namna gani.
 
Nawashwa kwa ndani,pia homa ya mara kwa mara.kingine nilipima kipimo cha VDRL,ndipo nikapima UTI.ndio dactari akanimbia nina UTI
 
Pole sana mkuu
Lkn ningependa uelezee vzr dalili zako ktk hilo tatizo inawezekana isiwe UTI au ikawa imeambatana na mengine lkn ukaitibu UTI na mengine yakabakia.
Umegusia kuwashwa je ni sehemu zipi haswa maana UTI yenyewe huleta maumivu makali haswa wakati wa kukojoa na pia homa kali.
Elezea kdg kwako iko ktk namna gani.
Nawashwa kwa ndani,pia homa ya mara kwa mara.kingine nilipima kipimo cha VDRL,ndipo nikapima UTI.ndio dactari akanimbia nina UTI
 
Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa sindano 5 ambazo nilimaliza juzi j3,ila now muwasho umeanza tena.wataalam mlioko huku naombeni mnipe njia mbadala pengine itanisaidia.usiku mwema
Tuambie dalili sisi tutakuambia ugonjwa ....
 
Mkuu kuna dawa fulan zinaitwa Azumà na dawa fulani ya kunywa cital zitakúpónya
 
Back
Top Bottom