Mkuu are you sureGold Standard Test ya UTI ni Culture watanzania wengi hatuna Elimu ya Kufanya Culture ya Mkojo... Na Watu wengi Wanakuwa wanasumbuliwa kwa Sababu Unakuta wana Wadudu wa UTI ambao ni Sugu Kwa Dawa (RESISTANCE TO ANT BIOTIC) ..
Fanya Kipimo cha Culture na Kama Ukikutwa Na Wadudu sugu upewe dawa ya Kuwaua Hasa Imepenem au Meropenem ndo Dawa za Mwisho kabisa Zikigoma Hizo basi Ujue Hakuna Njia Nyingine
YesMkuu are you sure
Nitafute kwa wakati wako nipate kukupa dawa upate kupona kw adawa za hospitali hutoweza kupona kabisa.Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa sindano 5 ambazo nilimaliza juzi j3,ila now muwasho umeanza tena.wataalam mlioko huku naombeni mnipe njia mbadala pengine itanisaidia.usiku mwema