RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Gold Standard Test ya UTI ni Culture watanzania wengi hatuna Elimu ya Kufanya Culture ya Mkojo... Na Watu wengi Wanakuwa wanasumbuliwa kwa Sababu Unakuta wana Wadudu wa UTI ambao ni Sugu Kwa Dawa (RESISTANCE TO ANT BIOTIC) ..
Fanya Kipimo cha Culture na Kama Ukikutwa Na Wadudu sugu upewe dawa ya Kuwaua Hasa Imepenem au Meropenem ndo Dawa za Mwisho kabisa Zikigoma Hizo basi Ujue Hakuna Njia Nyingine
Fanya Kipimo cha Culture na Kama Ukikutwa Na Wadudu sugu upewe dawa ya Kuwaua Hasa Imepenem au Meropenem ndo Dawa za Mwisho kabisa Zikigoma Hizo basi Ujue Hakuna Njia Nyingine